MAFUNDI wakiwa katika hatua za awali za
ujenzi wa 'Josho' la Ng'ombe, huko Mjimbini Wilaya ya Mkoani Pemba,
unaosimamiwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kama wanavyoonekana pichani. (Picha
na Asha Salim, Pemba).
TMDA YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA UMMA MATUMIZI SAHIHI YA DAWA NDANI YA
SABASABA
-
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) inashiriki katika Maonesho ya 49 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu kama Sabasaba, kwa lengo la
kutoa...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment