Habari za Punde

Wanaushirika wa kikundi cha 'Subira Njema', Changaweni wakiwajibika



WANAUSHIRIKA wa kikundi cha 'Subira njema' kilichopo Changaweni, Wilaya ya Mkoani wakitengeneza sabuni kwa kutumia vifaa vya kienyeji, ambavyo vimekuwa vikiwasababishia madhara ya ngozi kutokana baadhi ya dawa wanazozichanganya ikiwemo 'Kastik'. (Picha na Asha Salim, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.