Habari za Punde

Mafunzo ya jinsi ya kukabiliana na maafa yaendelea Pemba


 
MKUFUNZI wa maafa kutoka Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Pemba, Ali Salim Ali, akieleza jambo kwa wananchi wa Shehia ya Msingini (hawapo pichani) juu ya kukabiliana na Maafa pale yatakapotokea .(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)

 

 
MRATIB wa kamati ya Maafa pemba, kutoka Ofisi ya Makamo wa PIli wa Rais, Khamis Arazak akitoa ufafanuzi wa jambo kwa wananchi wa sehehia ya Tibirinzi (Hawapo pichani), juu ya kukabiliana na maafa pale yatakapotokea.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)



1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.