Habari za Punde

Wekundu wa Msimbazi ( Simba Sports) wakizidi kujifua Zenj kujiandaa na mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union



 Mchezaji aliyeibua mgogoro kwa vilabu vya Simba na Yanga Emmanuel Okwi akiwapa maelekezo wenzako wakati wa mazoezi huku kocha mkuu wa klabu hiyo Patrick Phiri mwenye kapelo akimsikiliza.
Wachezaji wa klabu ya Simba wakipata maelekezo kutoka kwa kocha wao Patrick Phiri wakati wa mazoezi ya asubuhi huko uwanja wa Chuo Kikuu cha Elimu Chukwani. (Picha zote na Ali Cheupe)



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.