Mnazi wa ajabu ukiwa katika moja ya eneo la Zanzibar na kuwa kivutio kwa Wageni wanaofika kuuangalia mnazi huo katika moja ya Wilaya za Magharibi Unguja, Ukiwa na pacha tatu za mnazi huo na zote zimetoa madafu kama unavyoonekana pichani ukiwa umenawiri. Unaweza kuujua uko wapi mnazi huu kazi kwako.
REA YASAMBAZA MITUNGI NA MAJIKO YA GESI KWA WATUMISHI WA GEREZA LA UKONGA
DAR ES SALAAM
-
-REA kuendela kuwajengea uwezo Magereza uendelezaji Miradi ya Nishati Safi
-Mhe. Balozi Radhia Msuya amewahamasisha Maafisa na Watumishi wa Magereza
kuwa M...
47 minutes ago
No comments:
Post a Comment