Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na
Mawasiliano Zanzibar Tahir M.K. Abdullah akitoa hutuba ya ufungaji wa Mkutano
wa siku tatu wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika.Mkutano huo
ulifanyika huko Ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Rais wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika Ndg. Tchagbele Sadamba,
akitoa Shukrani kwa Washiriki wa Umoja huo kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmi
kufunga Mkutano huo wa Kwanza uliotayarishwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania (TCAA) katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani
Zanzibar.
Washiriki
wa Mkutano wa kwanza wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika(AATO)
wakimsikiliza Mgeni Rasmi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na
Mawasiliano Zanzibar Tahir M.K. Abdullah(hayupo pichani) katika hafla ya
Kuufunga Mkutano huo,huko Ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani
Zanzibar.
Mgeni
rasmini Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mhe.Tahir M.K. Abdullah akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano wa kwanza wa watendaji
wakuu wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika mara baada ya kufungwa
kwa Mkutano huo uliofanyika huko Ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View
Kilimani Zanzibar.
Mkuu
wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania ambae ni Katibu Mteule wa (AATO) Bi.
Margareth Kyanwenda akizungumza na wandishi wa Habari mara baada ya kumalizika
kwa Mkutano wa siku tatu wa Umoja wa Vyuo vya Usafiri wa Anga Barani Afrika
uliofanyika Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.(Picha na Makame Mshenga-
Maelezo Zanzibar).
No comments:
Post a Comment