Habari za Punde

Mchezo wa Kijipima Guvu Timu ya Taifa ya Zanzibar na Timu ya Vikosi vya SMZ Amaan.

Beki wa timu ya Kombaini ya Vikosi vya SMZ,akimiliki mpira huku mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar, akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan .Timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 3--2.  
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Zanzibar mwenye mpira akimpita beki wa timu ya Vikosi wakati wa mchezo wao wa kujipima nguvu kujiandaa na michuano ya Kombe la CECAFA.mchezo uliofanyika uwanja wa amaan. 
                                 Mchezaji wa timu ya Taifa na wa Vikosi wakiwania mpira
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar akimpita beki wa timu ya Vikosi katika mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan timu ya taifa imeshinda 3--2
Beki wa timu ya Vikosi akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya taifa ya Zanzibar Khamis Mcha wakati wa mchezo huo, uliofanyika uwanja wa amaan timu ya taifa imeshinda 3--2. 
Beki wa timu ya Taifa ya Zanzibar Cholo akimpita mchezaji wa timu ya Vikosi katika mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya taifa imeshinda 3--2.
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar Khamis Mcha, akijiandaa kupiga mpira huku beki wa timu ya Vikosi akijiandaa kumzuiya katika mchezo huo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan. 
               Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar akiwapita mabeki wa timu ya Vikosi.
Beki wa timu ya Vikosi akimkata mtama mshambuliaji wa timu ya Taifa wakati akijiandaa kumpita wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan, timu ya Taifa imeshinda 3--2.
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar Khamis Mcha akiwa chini huku beki wa timu ya Vikosi akimpita na kuokoa mpira huo,
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Zanzibar akiwa na mpira huku beki wa timu ya Vikosi akijiandaa kumzuiya asilete madhara golini kwake wakati wa mchezo wao wa kirafiki uliofanyika uwanja wa amaan.
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar wakifuatilia mchezo wao na timu ya Kombaini ya Vikosi vya SMZ, uliofanyika uwanja wa amaan. timu ya Taifa ya Zanzibar imeshinda 3--2  

1 comment:

  1. Mmmm mshaanza usanii, tafuteni timu ngumu ktk nje Zanzibar ndio mpimane nayo nguvu.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.