Habari za Punde

TRA (Pemba) yakabidhi cheti kwa Zanzibar leo

MKUU  wa Shirika la Magazeti ya Serikali ofisi ya Pemba, linalochapisha magazeti ya Zanzibar leo, Zanzibar leo Jumapili na Zaspoti, Bakari Mussa Juma, akipokea Cheti cha Uwandishi wa habari za mamlaka ya mapato Tanzania ofisi ya Pemba (TRA), kutoka kwa mdhamini wa Mamlaka hiyo  Habibu Salehe Sultani. (Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.