Habari za Punde

Balozi wa Urussi Aagana na Dk Shein Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh aliyefika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Alexander A.Ranikh  baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa amemaliza muda wake wa kazi Nchini,[Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.