Habari za Punde

Wanafunzi wa Skuli ya Muembeladu wakipata huduma ya maji

Maji ni uhai kama wanavyoonekana Wanafunzi hawa wakiwa wakipata maji baada ya mwendo wa kurudi majumbani baada ya masomo yao wqakiwa katika mmoja wa mfereji katika mitaa ya makadara, mradi huo wa maji umefadhiliwa na Mbunge na Mwakilishi wa jimbo la Rahaleo Zanzibar 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.