Habari za Punde

Mbuyu Mnene Kisauni Byebye

Mbuyu mnene kuliko yote Zanzibar uliko katika eneo la kisauni ambao ulikuwa historia kwa wageni na wapita njia katika barabara iendayo fumba ukikatwa kupisha ujenzi wa uzio wa uwanja wa ndege na kutowa nafasi kwa ndege zinazotuwa katika uwanja huu. Kama unavyoonekana pichani ukiwa katika hatua za mwisho ya ukataji wake huo unaoendelea kidogo kidogo baada ya kumpata mkataji wa mbuyu huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.