Baadhi ya wahitimu wa chuo Kikuu cha Sumait wakiwa kwenye maandamano kuingia uwanja wa mahafali.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna akiwahutubia wanafunzi na wageni waalikwa katika mahafali ya 14 ya chuo Kikuu cha Sumit Chukwani. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar
Waziri wa Elimu Ali Juma Shamhuna akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora wa masomo ya Kiislamu na kiarabu Asha Yussuf Ali.
Baadhi ya wageni waalikwa wa mahafali ya 14 ya chuo Kikuu cha Sumait wakifuatilia sherehe hizo zilizofanyika Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment