Habari za Punde

Mchezo wa Kombe la Mapindu Kati ya Shaba na Polisi Uwanja wa Amaan.

Wachezaji wa Polisi wakisalimiana na Wachezaji wa timu ya Shaba kabla ya kuaza mchezo wao wa Ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika uwanja wa Amaan jioni hii.
Kikosi cha Timu ya Shaba wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Polisi uliofanyika uwanja wa Amaan.
Waamuzi wa mchezo wa Pili wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika jioni hii
Kikosi cha timu ya Polisi kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo wao na timu ya Shaba kuwania Kombe la Mapinduzi. Polisi imeshinda 1--0  
     Mshambuliaji wa timu ya Shaba Mudi Nyasa akimpita beki wa timu ya Polisi Mohammed Shaibu
        Mshambuliaji wa timu ya Shaba Khamis Ramadhani akimimina jaro golini kwa timu ya Polisi.


Wachezaji wa timu ya Polisi na Shaba wakiwania mpira katika mchezo huo, Timu ya Polisi imeshinda 1--0
        Mshambuliaji wa timu ya Shaba akiruka kiunzi cha Beki wa timu ya Polisi Mwita Makame. 
    Mashabiki wakishangilia mchezo kati ya Polisi na Shaba uliofanyika uwanja wa Amaan jioni hii.
Nahodha wa tim u ya Shaba Sheha Khamis, akimpita mchezaji wa timu ya Polisi katika mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Amaan.Timu ya Polisi imeshinda 1--0. 
  Mshambuliaji wa timu ya Shaba (Wazee wa Dago)huku beki wa timu ya Polisi akijiandaa kumzuiya 
Mshambuliaji wa timu ya Shaba Vumbi Shungu, akijiandaa kumpita beki wa timu ya Polisi Mwita Makame, Timu ya Polisi imeshinda 1--0.  
MKizaa katika goli la Polisi, wakati wa mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi lililoaza leo kwa michezo mitatu iliofanyika katika uwanja wa Amaan. Kati ya Timu ya JKU NA Mafunzo katika mchezo huo timu ya JKU imeshinda 2--0.  
Wachezaji wa timu ya Polisi na Shaba wakiwania mpira kushoto mchezaji wa Shaba, Said Sinde(10) akiwania na mchezaji wa timu ya Polisi Mohammed Haji wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi inayofanyika uwanja wa Amaan, Timu ya Polisi imeshinda 1--0.Dhidi ya timu ya Shaba.
Mshambuliaji wa timu ya Shaba, Said Sinde(10) akiwania mpira na beki wa timu ya Polisi Mohammed Haji wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi inayofanyika uwanja wa Amaan, Timu ya Polisi imeshinda 1--0.Dhidi ya timu ya Shaba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.