Habari za Punde

Mkutano wa Madaktari kutoka Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua  mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo  kutoka Uingereza mkutano huo   uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini  Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja jana

Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua   mkutano  maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza  uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja,
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua   mkutano  maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza  uliofanyika jana katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano huo uliofanyika jana  katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoawa Kusini Unguja,[Picha na Ikulu,]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.