Habari za Punde

Tanzania yashiriki maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni Nchini Oman.

Waziri wa Kilimo na Mifugo wa Oman Dkt. Fuad bin Jaafar al Sajwan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Maonesho ya Mwezi mmoja ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman. Picha na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar
Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.
Shamra shamra za ufunguzi wa Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.

Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kushoto akimsikiliza Mkuu wa Msafara wa Watanzania wanaoshirikia Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman Bi Khadija Batash, katikati ni Afisa wa Ubalozi Bw. Abdallah kilima.

Mbunifu na Mchongaji “Big Mama” akionesha kazi zake Wageni waliotembelea katika Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.
Ndg.Salum ameir Muchi Mchoraji akiwaonesha baadhi ya kazi zake Wageni waliotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman.
Naibu Balozi wa Tanzania nchini Oman Juma Othman kulia akibadilishana mawazo na mmmoja ya Wajasiriamali kutoka Tanzania anayeshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman
Mbunifu na mchongaji wa Milango maarufu kama “Zanzibar Door” Bw. Abdul-Rahman akipaka rangi baadhi ya kazi zake katika Maonesho ya Kimataifa ya Sanaa, Ubunifu na Utamaduni yanayofanyika Mascut nchini Oman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.