Habari za Punde

Breaking News Timu ya Polisi imekubali kipigo cha 5--0

Kikosi cha timu ya Polisi Zanzibar kinachowakishi Zanzibar katika michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika imekubaki kipigo kutoka kwa timu ya CF Muonana ya Gabone kwa kichapo cha mabao 5-0,

Mchezo huo umefanyika Nchini Gabon jioni hii.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.