Ujenzi wa Hoteli ya Muyuni ilioko Makangale , ambayo imezuiliwa Ujenzi wake na Idara ya MAZINGIRA PEMBA, kwa kukiuka masharti ya ujenzi , na hii ni sehemu ya ufukwe ambao umejengwa.
Nyumba ambazo zinaendelea kujengwa ndani ya Mashamba ya Kilimo cha mpunga huko Madenjani Kisiwani Pemba, na kusahau kuwa Serikali inamikakati ya kujitosheleza kwa chakula kwa angalau asilimia 40 ifikapo mwaka 2015.
ifikapo mwaka 2015.
Picha na Bakar Mussa -Zanzibarleo Pemba.
No comments:
Post a Comment