Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Hani Bin Abdulla Mominah leo alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa ajili ya kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.[Picha na Ikulu.]
TASAC Yawasihi Vijana Kuchangamkia Mafunzo ya Mabaharia
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
LICHA ya sekta ya bahari kuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi wa
dunia, bado dunia inakabiliwa na upungufu mkubwa...
5 hours ago
No comments:
Post a Comment