Habari za Punde

Dk.Shein akutana na Uongozi wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  na Idara Maalum   kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar 
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa  na Idara Maalum  na Idara zake mbali mbali  wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Haji Omar Kheir (hayupo pichani) alipokuwa  akitoa taarifa ya Wizara ya  utekelezaji wa mpango kazi   kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo  chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.] 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.