SUALA la Mabadiliko ya Tabia ya nchi na uharibifu wa
mazingira kwa kukatwa miti ya mikoko unaofanywa na wananchi wa Mtambwe na
majirani zao, umekiwa ukiaathiri wananchi wa Mtambwe kwa kiasi kikubwa.
Pichani Eneo ambalo limekuwa ni Jangwa baada ya miti hiyo kukatwa kwa wingi.(Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
KATIBU wa kikundi cha Mabadiliko Cooperative Society, kinachojishuhulisha na upandaji wa Mikoko, Othaman Omar Haji akiwaondoa adudu aina ya tondo katika moja ya mikoko, waliyopanda kwenye bonde la kwagando, ili wasiharibu vilele vya mti huyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
WAANDISHI wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya
habari kisiwani Pemba, wakikagua bwawa la samaki la kikundi cha Bora Utu
Cooperative Society, huko Mtambwe nyali Wilaya ya Wete, bwawa ambalo hadi sasa
limeshindwa kuwa na samaki tokea kuanzishwa mwaka 2011.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment