Habari za Punde

Maalim Seif akutana na wanabodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi pamoja na ujumbe wake, nyumbani kwake Mbweni
 Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi, akimkabidhi Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, sheria namba 18 ya mwaka 2004 ya kuwaenzi waasisi wa Taifa.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mwenyekiti wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Kanali mstaafu Kabenga Nsa Kaisi nyumbani kwake Mbweni, huku wajumbe wengine wakishuhudia
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na Mjumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, Mama Fatma Karume nyumbani kwake Mbweni.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi wa Taifa, nyumbani kwake Mbweni. (Picha na Salmin Said, OMKR)

1 comment:

  1. Maalim. Nyumba sema ibadilishwe rangi hiyo. Hahaha. Nakutania Tu. Mie jamaayo!!!.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.