Habari za Punde

Rais Kikwete Akutana na Uongozi wa Chuo Kikuu cha Tumaini Ikulu. leo

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Kikwete akizungumza na Viungozi wa Juu wa Chuo cha Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam,uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015.Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheriTanzania Dkt Alex Malasusa pamoja  na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho
kinamilikiwa na kanisa la KKKT

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na baadaye katika mazungumzo na uongozi wa juu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam uliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo February 9, 2015. Ujumbe huo umeongozwa na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania Dkt Alex Malasusa pamoja  na Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Nyumba la taifa (NHC) na Mwenyekiti wa Harambee ya chuo hicho ambacho kinamilikiwa na kanisa la KKKT. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.