Habari za Punde

CCM Ole wafundwa juu ya umuhimu wa kuikubali katiba pendekezwa


  


ALIEKUWA Mjumbe wa mkutano mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM ‘UVCCM’ taifa wilaya ya Bukoba mjini Mkoa wa Kagera Tanzania bara, Massoud Mohamed Ali akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuikubali katiba inayopendekezwa, kwenye kongamano la katiba hiyo lililoandaliwa na CCM Jimbo la Ole, na kufanyika uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

VIONGOZI wa CCM wa matawi, wadi kutoka Jimbo la Ole wilaya ya Wete Pemba wakimsikiliza aliekuwa Mjumbe wa mkutano mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM ‘UVCCM’ taifa wilaya ya Bukoba mjini Mkoa wa Kagera Tanzania bara, Massoud Mohamed Ali akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa kuikubali katiba inayopendekezwa, kwenye kongamano la katiba hiyo lililoandaliwa na CCM Jimbo la Ole, na kufanyika uwanja wa Gombani Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.