Habari za Punde

Ufunguzi wa michuano wa Jimbo Cup, Tundauwa

 
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Chake Chake Mhe:Yussuf Ali Juma(katikati), akivipungia mikono Vilabu mbali mbali vinavyoshiriki michuano ya Jimbo la Chonga CUP, michuano hiyo imeanza kutimua vumbi lake huko Tundauwa Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)



 MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Chake Chake Mhe:Yussuf Ali Juma, akisalimiana na kepteni wa Timu ya Kilindi,(Jina lake halikupatikana)wakati alipokuwa akiikagua timu hiyo kabla ya michuano hiyo kuanza, huku kilindi ikiishinda goli 2-1 dhidi ya Mgelema.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Chake Chake Mhe:Yussuf Ali Juma, akipiga penant kuashiria ufunguzi wa michuano ya jimbo la Chonga Cup huko Tundauwa, Wilaya ya Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.