Habari za Punde

Dk.Shein awaandalia Chakula Vijana wa hakaliki na Vikosi vya Ulinzi.



Makamanda wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika sherehe ya Chakulacha mchana 
kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa vikosi hivyo 
vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ikulu.]



  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia chakula alichowaandalia Askari wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja (kulia) Mkuu wa Kikosi cha 101 Kj Zanzibar Brigedia Generali.[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliolikwa katika chakula kilichowaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja.[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Kikosi cha JWTZ 101 Kj Zanzibar Brigedia Generali Muhaiki baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula kilichoandaliwa kwa Askari wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar   jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Kamishna wa Kikosi cha Zima Moto Zanzibar Ali Abdalla Malmussi akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein baada ya kumalizika hafla ya chakula cha mchana kwa Askari vikosi vya Ulinzi  vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar haflailiyofanyika kambi ya JWTZ Migombani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,{picha na IKULU.]
 Baadhi ya Vijana walioshiriki katika halaiki  ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula  katika hafla ya iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipowasili katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo katika sherehe za hafla ya chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
 Baadhi ya Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) pamoja na Viongozi mbali mbali wakiwa katika sherehe za hafla ya chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
 Viongozi wa Halaiki wakiwa katika  hafla maalum ya chakula kilichondaliwa kwa ajili ya Vijana walioshiki katika halaiki  ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyoandaliwa n
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia chakula wakati wa hafla maalum ya chakula aliyowaandalia Vijana walioshiriki katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[picha na Ikulu.]

 Hawa ni miongoni mwa Vijana walioshiriki katika halaiki  ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula kilichondaliwa kwa ajili yao na 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini akitoa neno la shukurani kwa Viongozi na Vijana walioshiri katika hafla ya chakula kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani kwa ajili washiriki wa halaiki ya Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiagana na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya chakula kilichoandaliwa kwa Vijana walioshiriki  Halaiki katika Sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.