Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jasem Ibrahim Al- Najem, baada ya mazungumzo yao ofisini kwake Migombani. (picha na Salmin Said, OMKR)
Muwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) aliyepo Zanzibar Dk. Andemichoel Ghirmoy, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na muwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) aliyepo Zanzibar Dk. Andemichoel Ghirmoy, ofisini kwake Migombani.
Muwakilishi wa shirika la afya duniani (WHO) aliyepo Zanzibar Dk. Andemichoel Ghirmoy, akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.
No comments:
Post a Comment