Habari za Punde

Mdahalo juu ya nafasi na wajibu wa Asasi za kiraia na wajumbe wa baraza la wawakilishi kukuza demokrasia

 MJUMBE wa Kamati tendaji ya ANGOZA, Zanzibar Sifuni Ali Haji, akifungua mdahalo juu ya nafasi na wajibu wa Asasi za kiraia na wajumbe wa baraza la wawakilishi katika kukuza na kuimarisha ushiriki wa wananchi, katika michakato ya demokrasia, mdahalo huo ulilifanyika Kituo cha mafunzo ya amali Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba) 
MDHAHIRI wa chuo kikuu cha Zanzibar SUZA, Ali Haji Vuai akiwasilisha mada juu dhana ya demokrasia kwenye mdahalo juu ya nafasi na wajibu wa Asasi za kiraia na wajumbe wa baraza la wawakilishi, katika kukuza na kuimarisha ushiriki wa wananchi katika michakato ya demokrasia, mdahalo huo hulo lilifanyika Kituo cha mafunzo ya amali Chake Chake Pemba, (Picha na Haji Nassor, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.