Habari za Punde

Ubunifu wa kuepukana na adha ya vumbi

KUTOKANA na barabara ya Mgagadu - Kiwani wilaya ya Mkoani ujenzi wake kufanywa mwendo wa kusuasua, na kuwepo kwa vumbi jingi hasa katika kipindi hiki cha kiangazi, madereva hulazimika kutumia mifuniko maalumu kwenye gari zao ili kuwakinga abiria wao na vumbi ambalo ni hatari kwa afya zao, (Picha na Shemsia Khamis, Pemba).



1 comment:

  1. Mwandishi ubunifu sawa, lakini bado kuna tatizo hapo. Ubunifu unazuia vumbi kuingia kwa wingi humo garinji lakini pia kuna athari nyengine ya 'suffocation' kwa kweli ni adha na shida tuu kwa viumbe sisi sijui tumeikosea nini serikali yetu. Dhiki na shida za maisha hazishi jamani, mpaka leo nchi vibarabara vyenye urefu usikifia hata 1000KM zinatushinda kuzijenga. Viongozi muyaone haya kabla ya umauti kukufikeni kwani mutakwenda kuulizwa.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.