Tunawashukuru walioanza kuchangia kwa kutuletea Miwani ya kusomea na ya macho na bado tunaendelea kukusanya.
Shime ndugu zangu tuwasaidie ndugu zetu nyumbani kwa vitu ambavyo tunaweza kuviona havina tena umuhimu kwetu lakini kwa mwananchi aliye kijijini na hana uwezo wa kununua miwani kwake ni kitu muhimu sana kitakachomsaidia maishani mwake.
Tuwasaidie ndugu zetu
No comments:
Post a Comment