Wabunge wa Tanzania wanaowakilisha katika Bunge la Afrika (Pan Afican Parliament), Mhe. Eng. Hamad Masauni (Kikwajuni) na Mhe. Luhaga Mpina (Kisesa) pamoja wabunge wenzao wakiwa makini kwenye Bunge la Afrika linaloendelea huko makao makuu ya Bunge hilo, Midrand, Afrika ya Kusini
RAIS SAMIA AMELITENDEA HAKI TAIFA – SPIKA DKT. TULIA
-
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa
Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, ametoa pongezi za dhati kwa
Rais wa Ja...
1 hour ago
Siasa za kwetu bwana! yaani tumeshindwa kabisa kukitumia hiki KICHWA ipasavyo, watu kama Eng. Masauni wanastahili kupewa nafasi zaidi ya ubunge kama sio bara basi japo hapa Z'bar
ReplyDeleteHuyu Eng. ni taipu ya akina MAHADHI, SAADA MKUYA, Prof. RAI na wachache wengine tulionao kwanini tusiwatumie..au ndio hivo tena?
Ni kutokana na wazingira kama haya yasiyoeleweka ndio maana kijana mmoja wa kusini(sio kae) ambae ni dokta wa sheria sasa hivi analazimika kujifunza KIMAKUNDUCHI ili ajaribu bahati yake...yaani ukimkuta anavyojilazimisha kuzungumza kiti asichikijua, utaskitika!
Engineer kwa maana ya Engineer khasa, ni Engineer wa kitu gani Mh Masauni?? Hebu naomba nasi tujuvye au umeshtushwa na title.
Deletekweli hata mimi namkubali sana huyu jamaa, sio tu kwa sabababu ya huo uinjinia wake mana kuna wasomi kibao kazi maneno u, lakini jamaa kwa kweli ni mtendaji. Nadhani sijui kama kuna Mbunge aliefanya kazi kubwa Jimboni kwake kuliko huyu. Kwa anastahili pongezi
ReplyDeleteKwa hapa kwetu, ukisema injinia kazma awe aidha wa ujenzi (civil engineer) , mechanics au automotives lakini aero-space, computer, electronics au chemical hazieleweki kuwa nazo ni engineerings
ReplyDeleteKwa mijibu wa kumbu kumbu za bunge nadhani mhe. amesoma electronic angineering tena Uk.