Habari za Punde

Bodi ya Redio Jamii Mkoani yazinduliwa

 MENEJA wa Redio Jamii Mkoani ambaye ni mwandishi mwandishi wa habari mkongwe kisiwani Pemba, Ali Abass Omar akitoa taarifa fupi ya redio hiyo kwa wajumbe wa bodi ya redio hiyo huko katika ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MKUU wa Wilaya ya Mkoani Mhe:Hemed Suleiman Abdalla, akizungumza na wajumbe wa bodi ya Redio jamii baada ya kuizinduwa rasmi bodi hiyo huko katika ofisi yake Wilaya ya Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
 MJUMBE wa Bodi ya Redio Jamii Mkoani ambaye pia ni Mratib wa Tume ya Utangazaji Zanzibar, Afan Othman Juma, akitoa ahadi za utekelezaji wa redio hiyo huko Mkoani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.