Kikundi cha JKU Morden Taarab kiitumbiza wakati wa chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi katika
chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana
Waalikwa walioshiriki katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana
Baadhi ya waalikwa katika katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana wakifuatilia kwa makini taratibu wakati wa chakula hicho ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akichukua chakula wakati wa hafla maalum kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzinbar Balozi Seif Ali Iddi pamoja na Viongozi mbali mbali walishiriki katika
hafla maalum ya chakula cha usiku kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana
hafla maalum ya chakula cha usiku kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana
Baadhi ya Viongozi wakichukua chakula katikahafla ya chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar
Baadhi ya waalikwa katika katika chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanikisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana wakifuatilia kwa makini taratibu wakati wa chakula hicho ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Baadhi ya waalikwa wakichukua chakula katikahafla ya chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali mbali zilizofanikisha Sherehe hizo hafal ilifanyika jana viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dkt.Mwinyihaji Makame Mwadini akitoa neno la Shukurani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa hafla ya chakula cha Usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa pamoja kamati mbali mbali zilizofanikisha Sherehe za maiaka 51 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar zilizofanyika viwanja vya Ikulu,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula cha usiku kilichoandaliwa rasmi kwa Halmashauri ya Sherehe na Maadhimisho ya Kitaifa katika kufanukisha Sherehe za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibarya miaka 51 katika viwanja Ikulu Mjini Unguja jana,[Picha na Ikulu.]
Endeleeji kula vinono kuna siku wanyonge wataamua.
ReplyDeleteHakuna bwana mbele ya bwana, eti mpaka sahani akamatiwe, huku ni kujikweza kwa nini kiongozi huwezi kuishi maisha ya kawaida mpaka ujikuze.
ReplyDeleteAkhui Mimi wala sioni issue sana kukamatiwa sahani Rais, issue zaidi ni hii ya kufujwa kwa fedha za wanyonge. Huu ni ufujaji mkubwa Wa jasho la walalahoi. Tujiulize wanyonge wangapi Wa nchi hii wangefaidika na gharama za shuguli nzima hoi??.
Delete