Habari za Punde

Maalim Seif akutana na mabalozi wadogo wa Oman na India

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na balozi mdogo wa Oman Sheikh Ali Al-Rashdi, ofisi kwake Migombani.
 Balozi mdogo wa Oman Sheikh Ali Al-Rashdi akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisi kwake Migombani.
  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi mdogo wa Oman Sheikh Ali Al-Rashdi, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika ofisi kwake Migombani.
 Balozi mdogo wa India aliyepo Zanzibar Satendar Kumar akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisi kwake Migombani.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisisitiza jambo wakati akizungumza na Balozi mdogo wa India aliyepo Zanzibar Satendar Kumar, ofisi kwake Migombani.
 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea zawadi kutoka kwa Balozi mdogo wa India aliyepo Zanzibar Satendar Kumar, ofisi kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiongozana na Balozi mdogo wa India aliyepo Zanzibar Satendar Kumar, baada ya mazungumzo yao ofisi kwake Migombani. (Picha na Salmin Said, OMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.