RAIS DKT SAMIA MGENI RASMI SHEREHE ZA MAADHIMISHO MIAKA 50 YA UHURU NCHINI
COMORO
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akikagua Gwaride la Jeshi la Umoja wa Visiwa vya Comoro alipowasili kwenye
Uwanja...
35 minutes ago
Sijui CCM-Z'bar, inaelekea wapi kln. nijuavyo kuna njia nyingi za kumdhibiti mzee MOYO ili asiendelee kufanya upuuzi anaoufanya.
ReplyDeleteSidhani kama kumfukuza chama pekee kunaweza kukidhi haja, hii inaweza kuvuruga zaidi hali ya mambo na kuwafanya WAPINZANI waonekane kua kumbe sio chama 'jamii' fulani bali kama ilivyo CCM tu.
Sura ya kimapinduzi itaonekana ktk vyama vyote viwili na hatimae vijana washindwe kuona tofauti, na kufungua njia ya mwana CCM yeyote yule ambae mambo hayatomwendea vizuri ndani ya chama hata kama kihalali aone heri kuhamia upinzania kwa vile 'mwiko' umeshavunjwa!