Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OlleGabriel
aliyenyoosha mkono akiongea na ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la
mpira wa magongo kuhusu namna ya
kuimarisha mchezo huo nchini, wa kwanza kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Shirikisho hilo Bw.Seif Ahmed
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirikisho la Kimataifa la mpira wa magongo Bw.Seif
Ahmed katikati akisisitiza jambo kwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante OlleGabriel wa kwanza kulia wakati Shirikisho hilo
lilipotembelea Ofisi za Wizara hiyo ili kujadiliana na Uongozi wa Wizara namna
ya kuimarisha mchezo huo, wa kwanza kushoto ni Mwenyekiti wa Mchezo huo nchini
Bw. Abraham Sykes. (Picha na Benjamin
Sawe WHVUM)
No comments:
Post a Comment