Habari za Punde

Ajali Konde Pemba


Hii ni gari ya abiria iliyopata ajali asubuhi ya leo huko Konde Pemba.. Katika ajali hiyo inadaiwa kuwa hakuna aliekufa ila kuna majeruhi tayari wameshakimbizwa Hospitali.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.