Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi Zanzibar

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akitoka Ukumbi wa Mkutano wa Baraza baada ya kuahirisha Kikao hicho cha Bajeti kwa mapumziko.
Waheshimiwa wakitoka Ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirishwa Kikao hicho cha asubuhi kwa mapumziko mafupi ya mchana. 
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar wakitoka katika Ukumbi wa Mkutano baada ya kuchangia Bajeti ya Ofisi ya Rais Ikulu, katika Kikao cha asubuhi. 

Mhe. Issa Gagu akizungumza na Maofisa wa Ofisi ya Rais Ikulu wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano wa Baraza.  


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.