Habari za Punde

Dk Shein afiwa na dada yake

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa nne kulia) akijumuika na Viongozi mbali mbali katika mazishi ya Dada yake Marehemu Fatma   Shein aliyefarika  jana na kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitia udongo katika kaburi la Dada yake Marehemu Fatma   Shein aliyefarika  jana  na kuzikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.