Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho akitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kuahirisha Kikao cha asubuhi kwa mapunziko baada ya mijadala ya Michango kuchangia Bajeti.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Mhe. Asaa, wakitoka uykumbi swa mkutano baada ya kuahirishwa kwa mapumziko ya mchana.
Waheshimia wakitoka katika ukumbi wa mkutano wa Baraza baada ya kuahirishwa leo asubu kwa mapumziko ya mchana.
No comments:
Post a Comment