Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt KMKM na Zimamoto Zimetoka sare ya 1--1

Wachezaji wa timu ya KMKM na Zimamoto wakiruka juu kuwania mpira wakati wa mchezo wao wa mwisho wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare ya 1--1 
                    Mchezaji wa timu ya Zimamoto akimpita beki wa timu ya KMKM
Kocha wa timu ya KMKM Seif Bausi akifuatilia mchezo wa timu yake dhidi ya timu ya Zimamoto  ikiwa ni mchezo wa kukamilishas Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt. 









Mashabiki wa timu ya Shaba wakiwa uwanjani wakisubiri mchezo wa timu yao dhidi ya timu ya Kipanga.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.