Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Miembeni na Hard Rock Uwanja wa Amaan,Timu hizo zimetoka sare ya 3--3

Mchezaji wa timu ya Hard Rock Maiko Wilson akiwa na mpira huku beki wa timu ya Miembeni akijianda kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu hizo zimetoka sare. 3--3
Vijana wa Red Cross wakitowa huduma ya kwanza wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
                  Mshambuliaji wa timu ya Hard Rock akimpita beki wa timu ya Miembeni.
Mchezaji wa timu ya Miembeni Suleiman Haji akimpita beki wa timu ya Hard Rock Amir Shabani wakati wa mchezo wao wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja amaan timu hizo zimetoka sare 3--3
Beki wa timu ya miembeni Abdalla Ibrahim akiokoa mpira golini kwake huku mshambuliaji wa timu ya Hard Rock Amir Shaban.
                    Wachezaji wa timu ya Miembeni na Hard Rock wakiwania mpira






No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.