Habari za Punde

Ligu Kuu ya Zanzibar Kipanga na Mtende Rengars. Imeshinda 2--1

Mshambuliaji wa timu ya Kipanga akimiliki mpira huku beki wa timu ya Mtende akijiandaa kumzuiya.



Golikipa wa timu ya Mtende Juma Machano akida mpira wakati wa mchezo huo.huku beki wake akiwa tayari kutoa msaada.
Mshambuliaji wa timu ya Kipanga akijiandaa kumpita beki wa timu ya Mtende Rangers wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan.
Wachezaji wa timu ya Mtende wakishangila bao lao la pili lililofungwa na mshambuliaji wake Jamuhuri Seif. mwenye kipara akipongezwa na wachezaji wezake.Timu ya Mtende imeshinda kwa mabao 2--1.  
Daktari wa timu ya Mtende akitowa huduma kwa mchezaji wa timu yake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika uwanja wa Amaan. Daktari wa kwanza mwanake katika timu za Ligi Kuu Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.