Habari za Punde

Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Azungumza na Waandishi

Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Naibu Kamishna Salum Msangi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kujitokeza kwa Baadhi ya Watu kutumia Vibaya Mitandao ya Simu kwa kutisha Viongozi wa Serikali na Watendaji wa Vyombo vya Dola Zanzibar, katika hali hiyo jeshi la Polisi tayari linawashirikila vijana wawili kwa tuhuma za kutumia mitandao kwa kutowa vitisho kwa Viongozi.
Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Naibu Kamishna Salum Msangi, akisisitiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar.  
Waandishi wakifuatilia taarifa inayotolewa na Naimu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar Salum Msangi.
Waandishi wakiwa makini kupata habari kutoka kwa Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Janii Zanzibar hayuko pichani.
         Waandishi wakiwa katika ukumbi wa mkutano Makao Makuu ya Polisi Kilimani Zanzibar.
 Mwandishi akipata fursa ya kuuliza swali wakati wa mkutano huo.
Mwandishi mkongwe wa ITV, Farouk Karim, akiuliza swali wakati wa mkutano huo wa kutoa taarifa ya kukamatwa kwa Vijana wanaojihusisha na kutowa lugha za Vitisho kwa Viongozi wa Seriali na wa Vyombo vya Dola Zanzibar
            Waandishi walipata fursa kuuliza maswali mbali mbali kutokana na Tuhuma hizo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.