Habari za Punde

Maandalizi ya Ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Yaaza.

Maandalizi ya ujenzi utasnuzi wa ujenzi wa ukuta wa bahari katika eneo la  Forodhani umeaza kwa  hatua ya mwazo ya kuweka uzio wa mabati kupisha ujenzi huo kama inavyoonekana pichani eneo hilo likiwa tayari limezungusha mabati kwa hatua za ujenzi wake

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.