MKUU wa Idara ya Maafa
Kisiwani Pemba, Khamis Arazak Khamis akiwaonyesha watu wenye ulemavu kisiwani
Pemba, mpango mkakati wa kukabiliana na maafa Zanzibar, wakati wa mafunzo ya
maafa kwa watu wenye ulemavu Wilaya ya Wete huko Jamhuri holi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MRATIB wa kitengo cha
walemavu mjumuisho Pemba, Kombo Ali Khatib akisoma sera wa kukabiliana na maafa
Zanzibar, wakati walipokuwa wakipatia mafunzo ya kukabiliana na maafa kwa watu
wenye ulemavu Wilaya ya Wete.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Idara ya Maafa
Kisiwani Pemba, Khamis Arazak Khamis akifungua mafunzo ya siku moja kwa watu
wenye ulemavu Wilaya ya Wete, juu ya kukabiliana na maafa yanapotokea huko katika
ukumbi wa jamhuri holi Wete.(Picha na
Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment