Habari za Punde

Mafunzo ya wiki tatu kuhusu usimamizi wa usafiri kufanyika China

Ndugu Mohamed Simba, afisa anayeshughulikia usafiri Zanzibar, wa kwanza kulia, akisubiri kujiandikisha kwa ajili ya mafuzo ya wiki tatu kuhusu usimamizi wa usafiri. Mafunzo hayo yanafanyika katika chuo cha Biashara kilichokuwepo mji mkuu wa China, Beijing. 

Mategemeo ya wengi mafunzo haya yatawasaidia watendaji wanaoshughulikia usafiri nchini kupambana na ajali za barabarani zinazoongezeka kila siku.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.