Habari za Punde

Mkutano wa Zeco na waandishi wa habari

  Baadhi ya wandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali Unguja wakimsikiliza Afisa Uhusiano wa ZECO, Salum Abdalla Hassan (hayupo pichani) wakati wa mkutano baina ya watendaji wa ZECO na wandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa mikutano Ecroternal.
 Afisa Uhusiano wa ZECO Salum Abdalla Hassan (meza kuu kulia) akiwafahamisha waandishi wa habari juu ya utendaji wa kazi za Shirika la Umeme Zanzibar na namna ya kuripoti habari katika mafunzo ya siku moja yaliyofanyika katika ukumbi wa Ecroternal mjini Unguja.
 Baadhi ya wandishi wa habari walioshiriki katika mafunzo hayo
Mwandishi wa habari kutoka Idara ya Habari Maelezo, Faki Mjaka akichangia mjadala wa namna ya kuandika habari mbali mbali juu ya utendaji wa kazi za ZECO katika mafunzo ya siku moja yaliyoendeshwa na ZECO na kuwashirikisha wandishi wa habari kisiwani Unguja katika ukumbi wa Ecroternal.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.