Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Zanzibar Bi Amina Shabani akifungua mkutano wa Mpango Utekelezaji wa Maendeleo ya MDG, uliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar na kuwashirikisha Maosifa Mipango wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wa Taasisi zisizo za Kiserekali, ulioandaliwa na Tume ya Mipango Zanzibar na Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania na kufa dhiliwa na UNDP.
Washiriki wa mkutano huo wakifuatilia hutuba ya Katibu Mtendaji Bi Amina Shabani akifungua mkutano huo.
Mwakilishi wa UN Zanzibar Ms.Anna Senga akitowa salamu za Umoja wa Mataifa UN wakati wa mkutano wa kupitia mafanikio ya Malengo ya Maendeleo, MDG,
Washiriki wakiwa katika ukumbi wa Mkutano hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar. wakifuatilia mada zinazotolewa wakati wa mkutano huo.
Dr. Oswald Mashindano akitowa maelezo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, akimuwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa (ESRF) wa kupitia Mafanikio ya Malengo ya Maendeleo kwa Tanzania, MDG uliofanyika Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Washiriki wakiwa katika ukumbi wa Mkutano wakifuatilia kwa utulivu michango na Mada zilizowakilishwa.
Balozi Celestine Mushy kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Tanzania akiwakilisha mada kuhusiana na United Nation's Sustainable Development Goals and Post 2015Development Agenda, wakati wa mkutano huo uliowashirikisha Watendaji wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wadau wa Taasisi Binafsi Zanzibar.

Balozi Celestine Mushy akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo .
Afisa wa ESRF Dr. Oswaid Mashindano, akizungumzia mada ya Elucidating SDG17 on Means of Implementation and Global Partnership for Development . Financing of Post MDGs Development Agenda. Wakati wa mkutano huo wa kupitia mafanikio ya Malengo ya Maendeleo ya kiuchumi kwa Zanzibar mkutano uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resoty Mazizini Zanzibar.
Washiriki wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakifuatilia Mada zinazowakilishwa na Wahusika.
Dr. Kenneth Mdadila kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam Idara ya Uchumi akiwakilisha mada yake kuhusiana na Tanzania's Preparedness in Monitoring Sustainable Development Goals.
Washiriki wakifuatilia mkutano huo.
Washiriki wakichangia Mada zilizowakilishwa wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment