Habari za Punde

Mwakilishi wa Rahaleo Akipiga Jeki Kikundi cha Vijana cha TUWEPO.

 Mhe. Nassor Salim Ali akikabidhi cheki ya laki tano kwa niaba ya Jumuiya ya TUWEPO kwa kikundi cha wajasiria mali wa jumuiya hiyo.
 Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe Nassor Salim Aljazira akizungumza na Vijana wa Kikundi cha TUWEPO, wakati wa hafla ya kuwakabidhi cheki Vijana hao kwa ajili ya Kikundi chao cha Wajasiriamali.
Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe Nassor Salim Aljazira akimkabidhi Cheki Kijana wa Jumuiya ya TUWEPO ya shilingi Laki Tano kwa ajili ya Kikundi hicho cha Wajasiriamali  

 Mgeni rasmin Mhe. Nassor Salim Ali akiagana na vijana wa Jumuiya ya Vijana wasio na ajira Tanzania (TUEPO) katika Ukumbi wa Water Front Rahaleo Mjini Zanzibar
Mgeni rasmin Mhe. Nassor Salim Ali (wa tatu kushoto waliokaa ) katika picha ya pamoja na viongozi wa TUWEPO , wa kwanza kushoto ni sheha wa rahaleo Omar Said.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.