Habari za Punde

Mwananchi akipata msaada baada ya kugongwa na gari.

Kijana ambae jina lake halijapatikana akipata msaada kutoka kwa wananchi kumsaidia baada ya kugongwa na gari wakati akiwa katika barabara hiyo na kugongwa na gari ya abiria, akisaidiwa kupelekwa katika hospitali ya Chake kupata huduma ya kwanza (Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.